Sikukuu ya pasaka ilikuwa nzuri.Watu walikuwa katika hali ya furaha na matumaini makubwa.Nyimbo na jumbe zote zilihusu kufufuka kwa Bwana wetu Yesu Kristo.
Kanisani kwetu hatukuvaa sare,kila mtu alikuwa huru kuvaa vazi atakalochagua.
Kulikuwa na kwaya mbalimbali za kanisani,waimbaji binafsi wa kanisani na mengineyo kama hayo,..kama vile inavyoonekana kwenye picha hizi...
***BONYEZA PICHA KUPATA UKUBWA KAMILI***
Kwaya ya watoto ikimwimbia Bwana
Watu wakisapoti kazi ya Bwana ...
Mchungaji Ruth Temu akisapoti kazi ya Bwana
Kwaya ya Wamama ilifuatia
Mwimbaji binafsi mwingine alifuatia..
Ikafuatia kwaya ya Evershine..
Sifa na Kuabudu ikaanza...
Baada ya kusifu na kuabudu,Neno la Mungu likaendelea.....
Mch.Ruth Temu
Na baada ya Neno,Maombi tukahairisha ibada,kila mtu akaenda kwake kufurahi na familia,ndugu na jamaa...
Nakuachia wimbo huu ukae moyoni mwako siku zote za maisha yako ...
Jesus is Alive By Ron Kenoly
TANZANIA KWA YESU!
No comments:
Post a Comment